caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:45

قُلْ إِنَّمَآ أُنذِرُكُم بِٱلْوَحْىِ وَلَا يَسْمَعُ ٱلصُّمُّ ٱلدُّعَآءَ إِذَا مَا يُنذَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Mimi ninawaonya kwa ufunuo (wahyi). Na viziwi hawasikii wito wanapoonywa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Mimi nakuonyeni kwa Wahyi. Na viziwi hawasikii wito wanapo onywa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70