caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 40

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:40

بَلْ تَأْتِيهِم بَغْتَةً فَتَبْهَتُهُمْ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBali itawafikia kwa ghafla, na itawashitua na wala hawataweza kuirudisha, wala hawatapewa muhula!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBali utawafikia kwa ghafla, na utawashitua na wala hawataweza kuurudisha, wala hawatapewa muhula!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70