لَا يُسْـَٔلُ عَمَّا يَفْعَلُ وَهُمْ يُسْـَٔلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterYeye haulizwi kwa ayatendayo, na wao ndio wanaoulizwa kwa wayatendayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYeye hahojiwi kwa ayatendayo, na wao ndio wanao hojiwa kwa wayatendayo.