أَفَلَا يَرَوْنَ أَلَّا يَرْجِعُ إِلَيْهِمْ قَوْلًا وَلَا يَمْلِكُ لَهُمْ ضَرًّا وَلَا نَفْعًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, hawakuona kuwa hakuwarudishia neno, wala kuwamilikia kudhuru wala kufaa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Hawakuona kuwa hakuwarudishia neno, wala hakuweza kuwadhuru wala kuwafaa?