caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 65

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:65

قَالُوا۟ يَٰمُوسَىٰٓ إِمَّآ أَن تُلْقِىَ وَإِمَّآ أَن نَّكُونَ أَوَّلَ مَنْ أَلْقَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Ewe Musa! Ima utupe wewe, au tuwe sisi ndio wa kwanza wa kutupa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Ewe Musa! Je! Utatupa wewe, au tutakuwa sisi wa kwanza kutupa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70