قَالَ أَجِئْتَنَا لِتُخْرِجَنَا مِنْ أَرْضِنَا بِسِحْرِكَ يَٰمُوسَىٰ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Ewe Musa! Hivyo umetujia kututoa katika nchi yetu kwa uchawi wako?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Ewe Musa! Hivyo umetujia kututoa katika nchi yetu kwa uchawi wako?