caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:16

فَلَا يَصُدَّنَّكَ عَنْهَا مَن لَّا يُؤْمِنُ بِهَا وَٱتَّبَعَ هَوَىٰهُ فَتَرْدَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, kamwe asikuzuilie nayo yule ambaye haiamini na akafuata matamanio yake ukaja kuangamia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa hivyo asikukengeushe nayo yule ambaye haiamini na akafuata pumbao lake ukaja kuhiliki.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70