caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 13

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:13

وَأَنَا ٱخْتَرْتُكَ فَٱسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰٓ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNami nimekuteua wewe; basi sikiliza yanayofunuliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70