caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 112

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:112

وَمَن يَعْمَلْ مِنَ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَهُوَ مُؤْمِنٌ فَلَا يَخَافُ ظُلْمًا وَلَا هَضْمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa anayetenda katika mema, naye ni Muumini, basi hatahofu kudhulumiwa wala kupunjwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa anaye tenda mema, naye ni Muumini, basi hatakhofu kudhulumiwa wala kupunjwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70