caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 110

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:110

يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ وَلَا يُحِيطُونَ بِهِۦ عِلْمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYeye anajua yaliyo mbele yao, na yaliyo nyuma yao. Wala wao hawawezi kumjua Yeye vilivyo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYeye anajua yaliyo mbele yao, na yaliyo nyuma yao. Wala wao hawawezi kumjua Yeye vilivyo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70