caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 99

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:99

وَلَقَدْ أَنزَلْنَآ إِلَيْكَ ءَايَٰتٍۭ بَيِّنَٰتٍ وَمَا يَكْفُرُ بِهَآ إِلَّا ٱلْفَٰسِقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika tumekuteremshia ishara zilizo wazi na hapana anayezikufuru isipokuwa wenye kupindukia mipaka (wapotovu).
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika tumekuteremshia Ishara zilizo wazi na hapana wanao zikataa ila wapotovu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70