caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 100

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:100

أَوَكُلَّمَا عَٰهَدُوا۟ عَهْدًا نَّبَذَهُۥ فَرِيقٌ مِّنْهُم بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani kila wanapofunga agano, huwapo kikundi miongoni mwao kinalivunja? Bali wengi wao hawaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Ati ndio kila wanapo funga ahadi huwapo kikundi miongoni mwao kikaivunja? Bali wengi wao hawaamini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70