caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 77

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:77

أَوَلَا يَعْلَمُونَ أَنَّ ٱللَّهَ يَعْلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعْلِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hawajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anayajua wanayoyaficha na wanayoyaweka wazi?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70