ٱلَّذِينَ يَظُنُّونَ أَنَّهُم مُّلَٰقُوا۟ رَبِّهِمْ وَأَنَّهُمْ إِلَيْهِ رَٰجِعُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao wana yakini kuwa hakika watakutana na Mola wao Mlezi na ya kuwa hakika ni wa kurejea kwake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao wana yakini kuwa hakika watakutana na Mola wao Mlezi na ya kuwa hakika watarejea kwake.