ٱلَّذِينَ يُؤْمِنُونَ بِٱلْغَيْبِ وَيُقِيمُونَ ٱلصَّلَوٰةَ وَمِمَّا رَزَقْنَٰهُمْ يُنفِقُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao huyaamini ya ghaibu na hudumisha Sala, na hutoa katika yale tuliyowaruzuku.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.