caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 24

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:24

فَإِن لَّمْ تَفْعَلُوا۟ وَلَن تَفْعَلُوا۟ فَٱتَّقُوا۟ ٱلنَّارَ ٱلَّتِى وَقُودُهَا ٱلنَّاسُ وَٱلْحِجَارَةُ أُعِدَّتْ لِلْكَٰفِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ikiwa hamtafanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni Moto ambao kuni zake ni watu na mawe, umeandaliwa makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70