caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 175

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:175

أُو۟لَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ ٱشْتَرَوُا۟ ٱلضَّلَٰلَةَ بِٱلْهُدَىٰ وَٱلْعَذَابَ بِٱلْمَغْفِرَةِ فَمَآ أَصْبَرَهُمْ عَلَى ٱلنَّارِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao ndio walionunua upotovu kwa uongofu, na adhabu kwa msamaha. Basi ni wavumilivu wa namna gani hawa kwa Moto!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ndio walio nunua upotofu badala ya uwongofu, na adhabu badala ya maghfira. Ama wavumilivu wa Moto watu hawa!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70