caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 15

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:15

ٱللَّهُ يَسْتَهْزِئُ بِهِمْ وَيَمُدُّهُمْ فِى طُغْيَٰنِهِمْ يَعْمَهُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu atawadhihaki na atawaacha katika upotovu wao wakitangatanga ovyo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70