caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 121

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:121

ٱلَّذِينَ ءَاتَيْنَٰهُمُ ٱلْكِتَٰبَ يَتْلُونَهُۥ حَقَّ تِلَاوَتِهِۦٓ أُو۟لَٰٓئِكَ يُؤْمِنُونَ بِهِۦ وَمَن يَكْفُرْ بِهِۦ فَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَٰسِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale tuliowapa Kitabu, wanakisoma kama ipasavyo kukisoma. Hao ndio kweli wanakiamini. Na wanaokikataa, basi hao ndio wenye kuhasiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWale tulio wapa Kitabu, wakakisoma kama ipasavyo kusomwa, hao ndio kweli wanakiamini. Na wanao kikataa basi hao ndio wenye kukhasiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70