caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 111

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:111

وَقَالُوا۟ لَن يَدْخُلَ ٱلْجَنَّةَ إِلَّا مَن كَانَ هُودًا أَوْ نَصَٰرَىٰ تِلْكَ أَمَانِيُّهُمْ قُلْ هَاتُوا۟ بُرْهَٰنَكُمْ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walisema: 'Hataingia Peponi ila Myahudi au Mkristo.' Hayo ni matamanio yao. Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wakweli.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walisema: Hataingia Peponi ila aliyekuwa Yahudi au Mkristo. Hayo ni matamanio yao. Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70