caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 92

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:92

وَمَا يَنۢبَغِى لِلرَّحْمَٰنِ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala Arrahmani (Mwingi wa rehema) hafailii kujichukulia mwana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hahitajii Arrahmani Mwingi wa Rehema kuwa na mwana.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70