وَقَالُوا۟ ٱتَّخَذَ ٱلرَّحْمَٰنُ وَلَدًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wao ati walisema kuwa Arrahmani (Mwingi wa rehema) alijifanyia mwana!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wao ati husema kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana!