caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 70

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:70

ثُمَّ لَنَحْنُ أَعْلَمُ بِٱلَّذِينَ هُمْ أَوْلَىٰ بِهَا صِلِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanaostahiki kuunguzwa humo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70