ذِكْرُ رَحْمَتِ رَبِّكَ عَبْدَهُۥ زَكَرِيَّآ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuu ni ukumbusho wa rehema ya Mola wako Mlezi kwa mja wake, Zakariya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHuu ni Ukumbusho wa rehema ya Mola wako Mlezi kwa mja wake, Zakariya.