caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 75

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:75

قَالَ أَلَمْ أَقُل لَّكَ إِنَّكَ لَن تَسْتَطِيعَ مَعِىَ صَبْرًا

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Yule mtu) Akasema, "Je, sikukwambia kwamba hakika wewe hutaweza kusubiri kuwa pamoja nami?"
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAKASEMA: Je! Sikukwambia kwamba hakika wewe huwezi kuvumilia kuwa pamoja nami?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70