إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ إِنَّا لَا نُضِيعُ أَجْرَ مَنْ أَحْسَنَ عَمَلًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wale walioamini na wakatenda mema, hakika Sisi hatupotezi ujira wa anayetenda mazuri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wale walio amini na wakatenda mema - hakika Sisi hatupotezi ujira wa anaye tenda mema.