caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:25

وَلَبِثُوا۟ فِى كَهْفِهِمْ ثَلَٰثَ مِا۟ئَةٍ سِنِينَ وَٱزْدَادُوا۟ تِسْعًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walikaa katika pango lao hilo miaka mia tatu, na wakazidisha tisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha tisa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70