إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ كَانَتْ لَهُمْ جَنَّٰتُ ٱلْفِرْدَوْسِ نُزُلًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wale walioamini na wakatenda mema, mashukio yao yatakuwa kwenye Bustani za Firdausi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wale walio amini na wakatenda mema mashukio yao yatakuwa kwenye Pepo za Firdausi.