وَٱلْخَيْلَ وَٱلْبِغَالَ وَٱلْحَمِيرَ لِتَرْكَبُوهَا وَزِينَةً وَيَخْلُقُ مَا لَا تَعْلَمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa farasi, nyumbu, na punda ili muwapande, na wawe ni pambo. Na anaumba msivyovijua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo.Na ataumba msivyo vijua.