caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 58

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:58

وَإِذَا بُشِّرَ أَحَدُهُم بِٱلْأُنثَىٰ ظَلَّ وَجْهُهُۥ مُسْوَدًّا وَهُوَ كَظِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mmoja wao akibashiriwa msichana, uso wake unasalia umesawijika na anakuwa na huzuni mno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mmoja wao akibashiriwa kwa msichana, uso wake unasawijika,naye kajaa chuki.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70