caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 117

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:117

مَتَٰعٌ قَلِيلٌ وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi starehe ndogo tu, nao wana adhabu chungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNi starehe ndogo, nao watapata adhabu chungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70