caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 98

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:98

فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَكُن مِّنَ ٱلسَّٰجِدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi mtakase Mola wako Mlezi kwa kumsifu, na uwe miongoni mwa wanaomsujudia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi mtakase Mola wako Mlezi kwa kumhimidi, na uwe miongoni wanaomsujudia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70