caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 96

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:96

ٱلَّذِينَ يَجْعَلُونَ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao wanafanya mungu mwingine kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi watakujajua!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao wanao fanya kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu yupo mungu mwingine.Basi, watakuja jua!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70