caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 84

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:84

فَمَآ أَغْنَىٰ عَنْهُم مَّا كَانُوا۟ يَكْسِبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hayakuwafaa yale waliyokuwa wakiyachuma.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHayakuwafaa waliyo kuwa wakiyachuma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70