فَجَعَلْنَا عَٰلِيَهَا سَافِلَهَا وَأَمْطَرْنَا عَلَيْهِمْ حِجَارَةً مِّن سِجِّيلٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, tukaugeuza mji huo juu chini, na tukawanyeshea mvua ya mawe ya udongo wa kutoka Motoni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukaigeuza nchi juu chini, na tukawanyeshea mvua ya mawe ya udongo wa Motoni.