caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 72

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:72

لَعَمْرُكَ إِنَّهُمْ لَفِى سَكْرَتِهِمْ يَعْمَهُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa uhai wako! Hakika hao walikuwa katika ulevi wao, wakihangaika ovyo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaapa kwa umri wako! Hakika hao walikuwa katika ulevi wao, wakihangaika ovyo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70