caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 70

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:70

قَالُوٓا۟ أَوَلَمْ نَنْهَكَ عَنِ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Kwani hatukukukataza (kuwakaribisha) walimwengu hawa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Sisi hatukukukataza usimkaribishe yeyote?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70