caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:29

فَإِذَا سَوَّيْتُهُۥ وَنَفَخْتُ فِيهِ مِن رُّوحِى فَقَعُوا۟ لَهُۥ سَٰجِدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi nitakapomtengeneza sawasawa, na nikampulizia katika roho yangu, basi angukeni kumsujudia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70