caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ibrahim, Aya 49

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 72 · 14:49

وَتَرَى ٱلْمُجْرِمِينَ يَوْمَئِذٍ مُّقَرَّنِينَ فِى ٱلْأَصْفَادِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa utaona wahalifu siku hiyo wamefungwa pamoja katika minyororo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa utaona wakhalifu siku hiyo wamefungwa katika minyororo;
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70