caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ibrahim, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 72 · 14:29

جَهَنَّمَ يَصْلَوْنَهَا وَبِئْسَ ٱلْقَرَارُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNayo ni Jahannamu wataiingia! Na ni mahali pa kukaa pabaya mno!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNayo ni Jahannamu! Wataingia, Maovu yaliyoje makaazi hayo!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70