caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ibrahim, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 72 · 14:16

مِّن وَرَآئِهِۦ جَهَنَّمُ وَيُسْقَىٰ مِن مَّآءٍ صَدِيدٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNyuma yake iko Jahannamu, na atanyweshwa katika maji ya usaha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbaye nyuma yake ipo Jahannamu, na atanywishwa maji ya usaha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70