عَٰلِمُ ٱلْغَيْبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ٱلْكَبِيرُ ٱلْمُتَعَالِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterYeye ndiye Mwenye kujua ya ghaibu na yanayoonekana, Mkubwa, Mtukufu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYeye ndiye Mwenye kujua yanayo onekana na yasio onekana; Mkuu Aliye tukuka.