caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 89

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:89

قَالَ هَلْ عَلِمْتُم مَّا فَعَلْتُم بِيُوسُفَ وَأَخِيهِ إِذْ أَنتُمْ جَٰهِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Je, mnajua yale mliyomfanyia Yusuf na kakaye mlipokuwa wajinga?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Je! Mmejua mliyo mfanyia Yusuf na nduguye mlipo kuwa wajinga?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70