لَّقَدْ كَانَ فِى يُوسُفَ وَإِخْوَتِهِۦٓ ءَايَٰتٌ لِّلسَّآئِلِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa yakini katika Yusuf na nduguze ziko ishara kwa wanaouliza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa yakini katika Yusuf na nduguze ziko ishara kwa wanao uliza.