caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 58

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:58

وَجَآءَ إِخْوَةُ يُوسُفَ فَدَخَلُوا۟ عَلَيْهِ فَعَرَفَهُمْ وَهُمْ لَهُۥ مُنكِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakaja ndugu zake Yusuf, na wakaingia alimokuwa. Yeye akawajua, na wao hawakumjua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakaja ndugu zake Yusuf, na wakaingia kwake. Yeye akawajua na wao hawakumjua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70