caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:57

وَلَأَجْرُ ٱلْـَٔاخِرَةِ خَيْرٌ لِّلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَكَانُوا۟ يَتَّقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika malipo ya Akhera ni bora zaidi, kwa wale walioamini na wakawa wanamcha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika malipo ya Akhera ni bora zaidi, kwa walio amini na wakawa wachamungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70