caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:35

ثُمَّ بَدَا لَهُم مِّنۢ بَعْدِ مَا رَأَوُا۟ ٱلْـَٔايَٰتِ لَيَسْجُنُنَّهُۥ حَتَّىٰ حِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha ikawadhihirikia baada ya kuona Ishara mbalimbali kuwa lazima wamfunge kwa muda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ikawadhihirikia baada ya kuona Ishara kuwa wamfunge kwa muda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70