caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 20

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:20

وَشَرَوْهُ بِثَمَنٍۭ بَخْسٍ دَرَٰهِمَ مَعْدُودَةٍ وَكَانُوا۟ فِيهِ مِنَ ٱلزَّٰهِدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakamuuza kwa thamani duni, dirhamu za kuhesabika tu. Wala hawakuwa na haja naye.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Na wakamuuza kwa thamani duni, kwa akali ya pesa. Wala hawakuwa na haja naye.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70