caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 80

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:80

قَالَ لَوْ أَنَّ لِى بِكُمْ قُوَّةً أَوْ ءَاوِىٓ إِلَىٰ رُكْنٍ شَدِيدٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Laiti ningelikuwa na nguvu dhidi yenu, au nijilinde kwenye nguzo yenye nguvu!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Laiti ningeli kuwa na nguvu kwenu, au nategemea kwenye nguzo yenye nguvu!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70