caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 75

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:75

إِنَّ إِبْرَٰهِيمَ لَحَلِيمٌ أَوَّٰهٌ مُّنِيبٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Ibrahim alikuwa mvumilivu sana, mwenye huzuni kubwa, na mwepesi wa kurejea kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Ibrahim alikuwa mpole, ana huruma, na mwepesi wa kurejea kwa Mwenyezi Mungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70